Unachohitaji kujua kabla ya kuanza

Kabla ya kutuma ombi la akaunti ya mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida, angalia iwapo shirika lako linatimiza masharti ya kujiunga, utakachohitaji ili kuthibitishwa na mambo ya kutarajia.

Angalia huduma zinazopatikana katika nchi uliko

keyboard_arrow_down
Google Workspace kwa Mashirika Yasiyo ya Faida
Ruzuku za Matangazo kutoka Google
Mpango wa YouTube wa Mashirika Yasiyo ya Faida
Google Earth na Ramani

Tuma ombi la kufungua akaunti ya Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida

Baada ya kuthibitisha kuwa shirika lako limetimiza masharti, utaweza kuweka bidhaa za Google zinazotimiza mahitaji yako kikamilifu.

Have additional questions? Angalia nyenzo zetu