Suluhisha changamoto kubwa ukitumia teknolojia ya Google
Hamasisha watu kuhusu dhamira ya shirika lako lisilo la faida, washirikishe wahisani wapya, changisha pesa kwa njia mbalimbali mtandaoni—fanya mambo haya yote na zaidi unapojiunga na mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida.