kwa Mashirika Yasiyo ya Faida
Skip to Content
  • Matoleo
    • Muhtasari
    • Google Workspace kwa Mashirika Yasiyo ya Faida
    • Ruzuku za Google Ad
    • Mpango wa YouTube wa Mashirika Yasiyo ya Faida
    • Google Earth na Ramani
  • Masharti ya kujiunga
  • Nyenzo
    • Usaidizi kuhusu Bidhaa
    • Washirika wa Bidhaa Walioidhinishwa
    • Maswali Yanayoulizwa Sana
    • Mafunzo na Vidokezo
  • Habari za Mafanikio
  • Ingia katika akaunti
  • Anza
kwa Mashirika Yasiyo ya Faida
  • Matoleo
    • Muhtasari
    • Google Workspace kwa Mashirika Yasiyo ya Faida
    • Ruzuku za Google Ad
    • Mpango wa YouTube wa Mashirika Yasiyo ya Faida
    • Google Earth na Ramani
  • Masharti ya kujiunga
  • Nyenzo
    • Usaidizi kuhusu Bidhaa
    • Washirika wa Bidhaa Walioidhinishwa
    • Maswali Yanayoulizwa Sana
    • Mafunzo na Vidokezo
  • Habari za Mafanikio
  • Ingia katika akaunti
  • Anza
  • Kuongeza uhamasisho
  • Kushirikiana kwa mbali
  • Kuhamishia mipango yako mtandaoni
  • Mafunzo na matukio yajayo
  • Habari za mashirika yasiyo ya faida
  • Nyenzo zaidi za Google

Nyenzo kwa mashirika yasiyo ya faida za kusaidia kukabiliana na dharura

  1. Kuongeza uhamasisho
  2. Kushirikiana kwa mbali
  3. Kuhamishia mipango yako mtandaoni
  4. Mafunzo na matukio yajayo
  5. Habari za mashirika yasiyo ya faida
  6. Nyenzo zaidi za Google

Kuongeza uhamasishaji na kuchangisha pesa

  • Nufaika zaidi na mpango wa Ruzuku za Matangazo

    Mashirika yasiyo ya faida yanayotimiza masharti hupokea Dola elfu 10 za Marekani kwa ajili ya bajeti ya utangazaji kila mwezi. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kupanga na kuanzisha kampeni ya utangazaji wa bidhaa mtandaoni kwa kutumia mafunzo haya ya hatua kwa hatua kutoka Applied Digital Skills.

    Aikoni ya Ruzuku za Matangazo
    open_in_new
  • Kuunda na kukuza Kituo chako cha YouTube

    Tumia uwezo wa video ili upangishe matukio ya mtandaoni ya kuchangisha pesa, utoe uhamasisho kuhusu kazi yako na ueneze habari kuhusu shirika lako lisilo la faida.

    Aikoni ya YouTube
    open_in_new
  • Hakikisha kuwa tovuti yako iko tayari kufanya kazi

    Soma vidokezo hivi kuhusu kuunda tovuti fanisi, kama vile kasi ya upakiaji wa maudhui kwenye ukurasa na vichwa vinavyovutia ili kuhakikisha kuwa wanaotembelea tovuti yako wanaelewa habari kuhusu shirika lako lisilo la faida.

    Aikoni ya kasi ya upakiaji wa maudhui kwenye ukurasa
    open_in_new
  • Kutumia barua pepe kwa ajili ya kuchangisha pesa kwa njia bora

    Barua pepe ni njia ya haraka na ya moja kwa moja ya kuwasiliana na mashabiki na wanaokufuatilia. Angalia vidokezo hivi kuhusu jinsi ya kueneza habari kuhusu azimio lako na uwafikie wafadhili wanaoweza kupatikana.

    Aikoni ya Barua Pepe
    open_in_new
  • Tathmini matangazo yako na uyabadilishe kulingana na hali za masoko

    Timu ya Ruzuku za Matangazo imetunga mwongozo huu kuhusu Nyenzo za COVID-19 ili kukusaidia uwasiliane na jumuiya yako, upate wafadhili na utoe uhamasisho kuhusu kazi yako.

    Aikoni ya Ruzuku za Matangazo
    open_in_new
  • Kuboresha utendaji wa matangazo yako kwenye huduma ya Tafuta na Google

    Dashibodi ya Utafutaji ni zana isiyolipishwa ya Google ambayo inakusaidia kutathmini utendaji na idadi ya watu wanaotembelea tovuti yako kwenye huduma ya Tafuta, kurekebisha matatizo na kuboresha utendaji wa tovuti yako kwenye matokeo ya huduma ya Tafuta na Google.

    Aikoni ya dashibodi ya utafutaji
    open_in_new
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6

Kushirikiana kwa mbali na kudumisha tija

  • Gundua vidokezo kuhusu jinsi ya kufanya kazi kwa mbali kwa kutumia zana za Google

    Google Workspace inatoa programu za kupangisha mikutano ya video, kupiga gumzo na kushirikiana kwenye hati. Angalia nyenzo hizi ili unufaike zaidi kutokana na zana hizi.

    Aikoni ya Google
    open_in_new
  • Pata majibu ya haraka kutoka kwa video fupi

    Usaidizi wa Haraka ni mfululizo wa video fupi kwenye YouTube ambazo hujibu maswali ya kawaida kuhusu jinsi ya kutumia zana dijitali. Tazama sasa ili upate maelezo kuhusu baadhi ya vidokezo vya haraka.

    Aikoni ya YouTube
    open_in_new
  • Sasisha zana zako kuwa zana za kisasa zaidi

    Mashirika Yasiyo ya Faida sasa yanaweza kupata manufaa ya mapunguzo ya matoleo ya kina ya Business na Enterprise ya Google Workspace.

    Aikoni ya Google
    open_in_new
  • Angalia nyenzo za ratiba na mikutano ya mtandaoni

    Je, unaanza kutumia nyenzo kama vile Kalenda, Meet na Tasks? Kagua mafunzo haya ili upate vidokezo kama vile kupanga mikutano na kudumisha mpangilio wa shughuli zako.

    Aikoni ya Kalenda
    open_in_new
  • Rahisisha shughuli ya “kufanya kazi ukiwa nyumbani”

    Kagua makala haya kutoka kwa wataalamu wa tija wa Google ili ufanye mambo mengi zaidi - bila kujali mahali unapofanyia kazi.

    Aikoni ya mpangilio wa kazi
    open_in_new
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

Kuhamishia mipango yako mtandaoni

  • Waunganishe watu kupitia kazi za utamaduni

    Kagua nyenzo ya Connected to Culture, zana dijitali kutoka Sanaa na Utamaduni kwenye Google ya kusaidia mashirika kuendeleza mipango yao ya utamaduni mtandaoni.

    Aikoni ya sanaa na utamaduni kwenye Google
    open_in_new
  • Kudumisha hali ya wanafunzi kusoma wakiwa nyumbani

    Iwapo shirika lako lisilo la faida linashughulikia mipango ya elimu, tembelea Google Teach from Anywhere ili usaidie kudumisha masomo ya wanafunzi wakati huu wa janga.

    Aikoni ya Nyumbani
    open_in_new
  • Kupangisha matukio dijitali kwenye YouTube

    Iwapo unafikiria jinsi ya kuanzisha matukio ya mtandaoni, angalia Mwongozo wa Matukio Dijitali (Digital Events Playbook) - mwongozo unaoweza kupakuliwa ambao unaweza kuutumia kutengeneza video na kuandaa matukio ya mtandaoni.

    Aikoni ya YouTube
    open_in_new
  • Kuanzisha madarasa ya mtandaoni kwa kutumia nyenzo ya Google Darasani

    Mashirika yanayotumia mpango wa Google Workspace kwa Mashirika Yasiyo ya Faida yana uwezo wa kufikia nyenzo ya Google Darasani ambayo husaidia kuunda mazingira ya masomo ya mtandaoni.

    Aikoni ya Google Darasani
    open_in_new
  • Kufunza wasanidi programu chipukizi kusanidi programu kwa kutumia nyenzo ya Grasshopper

    Je, shirika lako linasaidia katika kutoa mafunzo ya ujuzi wa teknolojia? Kagua nyenzo ya Grasshopper - programu isiyolipishwa ya kuanza kujifunza kusanidi programu kupitia masomo ya haraka na ya kuchangamsha kwenye simu au kompyuta yako ya mezani.

    Aikoni ya Grasshopper
    open_in_new
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5

Mafunzo na matukio yajayo

  • Mtaala wa ujuzi na zana dijitali kwa mashirika yasiyo ya faida

    Anza kwa kutumia mkusanyiko huu wa mafunzo ya video kwenye Applied Digital Skills ya kusaidia kuboresha utendaji wa mashirika yasiyo ya faida mtandaoni, kuwashirikisha wafadhili na kushirikiana na timu zao.

    Aikoni ya Shule
    open_in_new
  • Fuatilia kituo chetu cha YouTube

    Pata arifa kuhusu video na mikutano ya mtandaoni ya moja kwa moja ijayo ili uendelee kujifahamisha na upate vidokezo muhimu kuhusu kutumia zana za Google

    Aikoni ya YouTube
    open_in_new
  • Nufaika zaidi kutokana na zana dijitali na warsha za mtandaoni

    Jisajili kwenye warsha za moja kwa moja na zile za wakati unapohitaji bila malipo kwa kutumia nyenzo ya Grow with Google OnAir ili upate ujuzi wa dijitali unaoweza kukusaidia uboreshe tija na ushirikiane zaidi.

    Aikoni ya Jikuze na Google
    open_in_new
  • Tazama muhtasari wa mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida

    Je, huna ufahamu kuhusu mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida? Kagua mkutano huu wa mtandaoni unaoongozwa na wataalamu ili upate maelezo zaidi kuhusu mpango na bidhaa zinazotolewa.

    Aikoni ya YouTube
    open_in_new
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4

Habari za mashirika yasiyo ya faida kutoka duniani kote

  • Programu ya FoodFinder huambatisha nyenzo za chakula na Ramani za Google

    Ili kusaidia kurahisisha shughuli ya kupata nyenzo za chakula, Jack Griffin aliunda programu ya FoodFinder. Angalia jinsi wanavyotumia zana za Google ili kusaidia kupunguza ukosefu wa chakula.

    Aikoni ya Ramani za Google
    open_in_new
  • Mashirika duniani kote yanaendelea kuwa thabiti

    Angalia jinsi mashirika yasiyo ya faida duniani kote yanavyokabiliana na matatizo yanayozikabili jamii zao wakati huu wa janga la COVID-19, kuonyesha uthabiti, bidii na uwezo wa kubadilika kulingana na hali.

    Aikoni ya Google Hedgehog G
    open_in_new
  • The Last Mile imeboresha shughuli zake

    Kwa kujitahidi kupunguza mzunguko wa kufungwa gerezani kwa kutoa elimu na njia za ajira kwa watu waliofungwa gerezani, pata maelezo kuhusu jinsi The Last Mile hutumia zana za kina kutoka Google Hedgehog.

    Aikoni ya Google Hedgehog G
    open_in_new
  • Canada Learning Code imehamishia mipango yake mtandaoni

    Angalia jinsi Canada Learning Code, shirika ambalo linalenga kutoa elimu ya teknolojia kwa makundi ambayo hayajawakilishwa kikamilifu nchini Kanada, lilivyoanzisha mipango ya masomo ya mtandaoni na kuanza kufanya kazi kwa mbali mwanzoni mwa janga

    Aikoni ya Shule
    open_in_new
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4

Nyenzo zaidi za Google

  • Jisajili ili upokee jarida letu

    Kila mwezi, tunatuma jarida lenye vidokezo muhimu, matangazo ya bidhaa mpya na habari za mafanikio kutoka kwa mashirika yasiyo ya faida duniani kote.

    Aikoni ya Gmail
    open_in_new
  • Tufuatilie kwenye Twitter.

    Jiunge na jumuiya yetu ya Twitter ili upate maelezo kwa wakati unaofaa kuhusu matukio yajayo, nyenzo na mengineyo.

    Aikoni ya Twitter
    open_in_new
  • Angalia Mjadala wa Jumuiya

    Kagua mjadala wetu wa mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida. Unaweza kuchapisha maswali kwa jumuiya au uone majibu ya maswali ya kawaida.

    Aikoni ya Mjadala
    open_in_new
  • Tembelea Nyenzo za Afya ya Akili kwa Wanajeshi Waliostaafu

    Iwe unatafuta usaidizi wa mfadhaiko wa baada ya matukio ya kushtua, uraibu wa dawa za kulevya au vipengele vingine vya afya yako ya akili, una chaguo. Tembelea tovuti hii kwa usaidizi unaolenga Wanajeshi Waliostaafu.

    Aikoni ya VetNet
    open_in_new
  • Jiunge na Mpango wa Washirika wa Jikuze na Google

    Mpango wa Washirika wa Jikuze na Google hutoa nyenzo zisizolipishwa za kusaidia mashirika kuwafunza watu ujuzi wa dijitali ambao utakuza biashara na taaluma zao na kuongeza fursa ya kiuchumi.

    Aikoni ya Jikuze na Google
    open_in_new
  • Tembelea Kituo cha Google cha Nyenzo za COVID-19

    Je, unatafuta nyenzo na maelezo zaidi ili uendelee kujifahamisha? Kagua nyenzo za Google kuhusu afya na maelezo ya usalama, pata maarifa kuhusu jinsi maeneo yaliyoathiriwa na upate zana za kutoa usaidizi.

    Aikoni ya Google
    open_in_new
  • Pata habari mpya kutoka Google

    Nenda kwenye blogu rasmi ya Google, The Keyword, ili uone maelezo yaliyosasishwa, habari na vidokezo kutoka kwa wataalamu. Unaweza pia kujisajili ili upokee makala mapya kwenye kikasha chako.

    Aikoni ya Google
    open_in_new
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7

Tufuatilie

Mipango Mingine ya Google

  • Google.org
  • Google for Education
  • Taasisi ya Utamaduni
  • Mpango wa Google wa Kudumisha Mazingira
  • Mpango wa Google kuhusu Siasa na Uchaguzi
  • Jigsaw
  • Athari ya Google Fiber kwa Jumuiya

Bidhaa Nyingine za Google

  • Google Analytics
  • Chromebook
  • Nyenzo za Biashara kutoka Google
  • Google Tafsiri

Vituo vya Usaidizi

  • Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida
  • Google Workspace
  • Ruzuku za Google Ad
  • Mpango wa YouTube wa Mashirika Yasiyo ya Faida
  • Uhisani wa Google Earth
  • Faragha
  • Sheria na Masharti
  • Kuhusu Google
  • Usaidizi