Ufikiaji rahisi na salama wa maudhui yako

Hifadhi, shiriki na ushirikiane kwenye faili na folda kwenye kifaa cha mkononi, kompyuta kibao au kompyuta yako

shujaa-wa-hifadhi

Ulinzi wa ndani dhidi ya programu hasidi, taka na programu zinazodai kikombozi

Hifadhi inaweza kutoa ufikiaji salama uliosimbwa kwa njia fiche wa faili zako. Faili zinazoshirikiwa nawe zinaweza kukaguliwa kwanza na kuondolewa ikiwa zina taka, programu hasidi, programu zinazodai kikombozi au ni za wizi wa data binafsi. Zaidi ya hayo, Hifadhi imeundwa mahususi kutumika kwenye wingu, kwa hivyo hakuna haja ya kuweka faili kwenye kifaa na hivyo inaweza kupunguza hatari kwenye vifaa vyako.

Maudhui Salama kwenye Hifadhi Maudhui Salama kwenye Hifadhi

Programu za kushirikiana zinazowapa watu kipaumbele za kuimarisha ushirikiano wa timu

Hifadhi huunganika na Hati, Majedwali na Slaidi, ambazo ni programu za kushirikiana zilizoundwa mahususi kutumika kwenye wingu zinazowezesha timu yako kubuni maudhui na kushirikiana kwa ufanisi zaidi katika muda halisi.

Kazi Zilizoimarishwa kwenye Hifadhi Kazi Zilizoimarishwa kwenye Hifadhi

Kuunganisha na zana na programu ambazo timu yako tayari inatumia

Hifadhi huunganika na kutia nguvu teknolojia ambayo timu yako tayari inatumia. Shirikiana katika faili za Microsoft Office bila kuhitaji kugeuza aina za faili, badilisha na uhifadhi zaidi ya aina 100 zingine za faili, ikiwa ni pamoja na PDF, faili za CAD, picha na aina zingine.

Zana Zilizounganishwa kwenye Hifadhi Zana Zilizounganishwa kwenye Hifadhi

Search na teknolojia ya AI kutoka Google husaidia timu yako kutafuta mambo haraka

Vipengele thabiti vya utafutaji vya Google vimepachikwa katika Hifadhi na vinatoa kasi, hali ya kutegemeka na kuwezesha ushirikiano. Zaidi ya hayo, vipengele kama vile chipu za utafutaji za Hifadhi vinasaidia timu yako kupata faili haraka kwa kuleta matokeo yanayofaa zaidi.

Utafutaji kwenye Hifadhi Utafutaji kwenye Hifadhi

Maelfu ya timu tayari zinatumia Hifadhi kubadilisha jinsi zinavyofanya kazi

broadcom freedom sanmina whirlpool

Hifadhi huunganika na zana ambazo timu yako tayari inazitumia

Tafuta mpango unaokufaa

Hifadhi ya Google ni sehemu ya Google Workspace

Kila mpango unajumuisha

  • aikoni ya Google Docs
  • aikoni ya Google Sheets
  • aikoni ya Google Slides
  • aikoni ya Google Forms
  • aikoni ya Google Keep
  • aikoni ya Tovuti
  • aikoni ya Hifadhi ya Google
  • aikoni ya Gmail
  • aikoni ya Meet
  • aikoni ya Kalenda
  • aikoni ya gumzo

Jaribu Hifadhi kwa ajili ya Kazi

Kwa Matumizi Binafsi (bila malipo)

Nenda kwenye Hifadhi

Business Standard

$12 USD

kwa kila mtumiaji kwa mwezi, ahadi ya mwaka 1 info Au $14.40 kwa kila mtumiaji kwa mwezi, unapolipia kwa kila mwezi

Anza

Angalia mipango zaidi

Hifadhi ya Google
Hifadhi

Hifadhi salama ya wingu

GB 15 kwa kila mtumiaji

TB 2 kwa kila mtumiaji

Kushiriki kwa hadhira inayolengwa

remove

done

Hifadhi za pamoja za timu yako

remove

done

Google Docs
Hati, Majedwali, Slaidi, Fomu

kubuni maudhui

done

done

Gmail kutoka Google
Gmail

Barua pepe salama

done

done

Anwani maalum ya barua pepe ya biashara

remove

done

Google Meet
Meet

Kufanya mikutano ya video na ya simu

Washiriki 100

Washiriki 150

Rekodi za mkutano zinahifadhiwa kwenye Hifadhi

remove

done

Usimamizi wa usalama
Msimamizi

Usimamizi chini ya mamlaka moja

remove

done

Vidhibiti vya sera za usalama kulingana na kikundi

remove

done

Usaidizi kwa wateja

Usaidizi wa kujihudumia mtandaoni na majadiliano ya jumuiya

Usaidizi mtandaoni wa saa 24/7 na majadiliano ya jumuiya

Je, unatafuta nafasi zaidi kwa ajili ya akaunti yako binafsi?

Google One

Google One ni mpango wa usajili unaokupa nafasi zaidi ya kutumia katika Hifadhi ya Google, Gmail na Picha kwenye Google. Isitoshe, ukiwa na Google One, unapata manufaa ya ziada na unaweza kushiriki uanachama wako na familia yako.