Unatazamia kukuza biashara yako? Tunaweza kusaidia.

Suluhisho za Biashara

Tafuta bidhaa muhimu za kuweka mtandaoni na kukuza biashara yako.

Pata maelezo zaidi

Matangazo ya Google

Jifunze kuhusu kutangaza na jinsi ya kutengeneza pesa kutoka kwenye tovuti yako,

Pata maelezo zaidi

Programu za Google kwa Biashara

Barua pepe za mtandaoni, kalenda na hati zinakuwezesha kufanya kazi na yeyote kutoka mahali popote.

Pata maelezo zaidi

Google+ kwa Biashara

Kurasa za Google+ zinapatia biashara yako makao mtandaoni.

Pata maelezo zaidi

Tangaza mtandaoni

Kwa watangazaji

Wateja wale unaowatafuta, wanakutafuta—kwenye Google. Onyesha matangazo yako kwenye Google na mtandao wetu wa utangazaji, na ulipe tu iwapo watu watabofya matangazo yako.

Bidhaa zinazohusiana

Kwa wachapishaji

Tengeneza pesa kutoka kwenye tovuti yako kwa kuonyesha matangazo yanayohusiana na maudhui kwenye tovuti yako.

Kwa mawakala

Tafuta uhamasishaji na zana ili kufanya maajabu ya kuweza kuwasaidia wateja wako kunufaika zaidi na Google.

Endesha biashara yako

Google Apps

Gundua barua pepe za wavuti, kalenda, na hati zinazokuwezesha kufanyia kazi mahali popote.

Biashara ya Earth na Maps

Google Earth na Maps inachanganya ramani zinazojulikana za Google na vipengele vya ziada zilivyobuniwa hasa kwa watumiaji wa biashara.

Tafuta suluhisho za Biashara

Ukiwa na nguvu ya utafutaji wa Google, biashara yako inaweza kufikia na kushiriki kwa urahisi maarifa ya shirika.

Huduma za wingu

Jenga biashara yako na Google App Engine, Uhifadhi wa Wingu, na API ya Kubashiri.

Chrome

Leta nguvu na utendaji wa Chrome kwenye biashara yako.

Weka biashara yako mtandaoni

Google+ kwa biashara

Kurasa za Google+ zinapatia biashara yako makao mtandaoni, na zinakuwezesha kuimarisha uhusiano na wateja wako.

Suluhisho zako

Uza bidhaa zako

Kituo cha Muuzaji

Tafuta wateja wapya, onyesha bidhaa zako mtandaoni, na usakinishe mchakato salama na wa haraka wa malipo.

Suluhisho zako

Boresha biashara yako

Uchanganuzi

Uchanganuzi wa Google unakusaidia kujifunza kuhusu tovuti yako ili uweze kuiboresha kwa wageni.

Zana za msimamizi wa wavuti

Pata data kuhusu utambaaji, uwekaji nambari na trafiki ya utafutaji inayoweza kukusaidia kuongeza wageni katika tovuti yako.