Kuwa salama kwenye intaneti
Chunguza vidokezo vya haraka na jinsi-ya ambazo zinaeleza unachoweza kufanya ili uwe salama kwenye wavuti.
-
Fahamu nyenzo za usalama na faragha zinazotolewa kwako na Google
Pata maelezo zaidi kuhusu nyenzo unazoweza kutumia kukusaidia kuwa salama na Google.
-
Weka manenosiri yako salama
Jifunze mengi zaidi kuhusu jinsi ya kubuni manenosiri thabiti na kuweka maelezo yako salama.
-
Weka kifaa chako safi
Gundua jinsi unavyoweza kulinda kompyuta yako au kifaa chako dhidi ya wahalifu.
-
Zuia wizi wa utambulisho
Jifunze mengi zaidi kuhusu jinsi ya kujilinda dhidi ya wizi wa utambulisho.
Weka familia yako salama mtandaoni
Pata ushauri kutoka kwa wazazi wanaofanya kazi Google na wataalam wa usalama wa familia kuhusu jinsi ya kuisaidia familia yako kuvinjari wavuti kwa usalama.
-
Pata maelezo zaidi kuhusu nyenzo za usalama kwenye intaneti zinazotolewa na Google
Jifahamishe kuhusu nyenzo mpya zaidi ambazo Google hutoa kwa wazazi na walezi.
Jifunze jinsi Google inavyosaidia kukulinda
Google hufanya kazi kwa bidii ili kukulinda unapotumia wavuti.
-
Kusaidia kukabiliana na wizi wa utambulisho
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi Google inavyosaidia kupigana na wizi wa utambulisho.
-
Kufanya kazi kusaidia kuweka kompyuta na vifaa vyako safi
Angalia jinsi Google inavyosaidia kulinda kompyuta na kifaa chako kutokana na programu hisadi.
Fahamu wavuti
Kivinjari ni nini? Fahamu jinsi ya kupiga gumzo mtandaoni, kutafuta kwa ufanisi na zaidi.
-
Gundua maneno ya kiufundi
Hujui WPA2 ni nini? Angalia ufafanuzi wa msamiati.
-
Kuwa mtaalam wa teknolojia
Chunguza Mambo Msingi Kuhusu Intaneti ili upate maelezo zaidi kuhusu wavuti na mengin mengi.
-
Pata maelezo zaidi
Angalia vidokezo vya usalama, video na nyenzo za ziada kutoka kwa wataalam.
